Samuel Aswile

Samuel Aswile

Samuel Aswile Mwakatajila ni mtazania aliyezaliwa katika kijiji cha Lyebe wilaya ya Rungwe mkoa wa mbeya nchini Tanzania.

Ni mtumishi wa Mungu mwenye elimu ya theology na pia msomi mwenye shahada ya Telecommunication & Electronics Engineerin.

Mtumishi Samuel amekuwa akifundisha ujumbe wa neno alilopewa na Mungu maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa Munda mtefu sasa.

Pia ni mwandishi wa vitabu na makala za kiimani ( Imani ya kikristo) kwa muda mtefu.

Samuel anakualika kupata ujuzi wa kiMungu kupitia kitabu hiki.

Read More Read Less

1 results found
List viewGrid view
Sort By:
1.
Ongeza ufahamu wako kuhusu maombi9 % NR
Publisher: Samuel Aswile
No Review Yet
₹1,139
₹1,036
Binding:
Paperback
Release:
07 Oct 2024
Language:
Swahili
International Edition
Ships within 14-16 Days Explain..
Free Shipping in India and low cost Worldwide.
No more records found