Godwin ChilewaPastor Godwin Chilewa amehitimu shahada ya saikolojia (Bsc Psychology) katika chuo kikuu cha Houston mjini kati (University of Houston Downtown), na shahada ya uzamili (MBA in Project Management) katika chuo kikuu cha DeVry - Houston. Alisimikwa kuwamchungaji tarehe 14 Mei 2016 katika ibada iliyofanyika kwenye kanisa la Holly Covenant - United Methodist Church, Katy Texas. Kabla ya kuitwa kumtumikia Mungu Pastor Godwin alikuwa afisa mwandamizi wa idara ya Usalama wa Taifa. Kazi aliyoifanya kwa miaka ishirini. Kitabu chake kipya kiitwacho Shuhuda za Jasusi kitatoka hivi karibuni. Unaweza kumpata kupitia tovuti yake www.veritasgospel.org Read More Read Less
An OTP has been sent to your Registered Email Id:
Resend Verification Code