Ally Yusufu MugenziAlly Yusufu Mugenzi kwa jina jingine Ally Kayamba alijiunga na Chuo cha Uandishi wa Habari Tanzania mwaka 1978. Alipohitimu mwaka 1980, aliajiriwa na Shirika la Habari Tanzania - SHIHATA. Mwaka 1983 aliacha kazi SHIHATA akajiunga na Idhaa ya Kiswahil ya Redio Rwanda. Mwanzoni mwa mwaka 1994, aliacha kazi Radio Rwanda alipoajiriwa na Idhaa ya Kiswahili ya BBC-London. Akiwa BBC, alianzisha idhaa ya kukutanisha watu waliotenganishwa na mauaji ya kimbari ya Rwanda. Baadaye ilibadilika na kuwa Idhaa ya Maziwa Makuu. Mwaka 2005 aliteuliwa kuwa mhariri wa idhaa hiyo ambako yuko mpaka sasa. Read More Read Less
An OTP has been sent to your Registered Email Id:
Resend Verification Code