· FLAT 10% Off (Maximum Discount Rs.50) Use Code - BWSPECIAL10
· Grab Bestselling Books upto 50% Off!
Kalisti MjuniMwandishi wa kitabu hiki ni mlei wa Kanisa Katoliki, Parokia ya Mt. Yakobo Mkuu Mtume-Mbande, Kigando cha Tambani; Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Ana shahada ya masomo ya lugha (B.A Language Studies) katika lugha za Kiswahili, Kifaransa na 'Linguistics'kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Amewahi kufanya kazi za: uhariri, uandishi wa vitabu, uandishi wa makala kwenye magazeti mbalimbali likiwemo Gazeti la Mwananchi, ufundishaji wa masomo ya lugha katika taasisi na makampuni mbalimbali nchini Tanzania. Kwa sasa ni mhariri wa kujitegemea wa vitabu, nyaraka mbalimbali na makala za magazetini. Pia, ni mfasiri (translator) wa lugha za Kiswahili, Kingereza na Kifaransa. Read More Read Less
An OTP has been sent to your Registered Email Id:
Resend Verification Code